![]() |
| Boko Haram mara nyingi huwazamisha watoto kuendesha mashambulizi ya kujitoa mhanga |
Umoja wa mataifa unasema kuwa
kutumiwa kwa watoto kama washambuliaji wa kujitoa mhanga na kundi la
wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria, imeongezeka tangu mwaka
uliopita.
Inaripotiwa kuwa washambuliaji watano wa kujitoa mhanga sasa ni watoto huku robo tatu wakiwa na wasichana.
UNICEF inasema kuwa wasichana hao wakati mwingine huleweshwa, kisha hufungwa milipuko kwenye miili yao na kulazimishwa kufanya mashambulizi.


Post a Comment