Watu katika sehemu tofauti nchini
Ethiopia likiwemo eneo linalokumbwa na matatizo la Oromia, wamekuwa
hawawezi kutumia mitandao ya kijamii kama vile WhatsApp na Twitter kwa
zaidi ya mwezi mmoja kwa mujibu wa shirika la Bloomberg.
Maandamano huko Oromia, ya mwaka jana, yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 200 kulingana na kundi la kutetea haki za binadamu,
Serikali ya Ethiopia imeliambia shirika la habari la Bloomberg kwamba kupotea kwa huduma za mitandao ni kutokana na matatizo ya mawasiliano na sio ya kimakusudi


Post a Comment