Latest in Tech

TUKIO LA AJABU KUTOWAI KUSHUHUDIWA KWA MIONGO MITATU; SAYARI ISIOJULIKANA ILIOPEAW JINA LA PLANET X KUIFUATA NA KUIKARIBIA SAYARI YA DUNIA KWA KASI YA AJABU

1. Ni sayari ambayo kila baada ya miaka 3600 huingia katika solar system yetu na huikaribia dunia ila haitaigonga dunia.

2. Ni sayari ambayo mwaka 1982 shirika la marekani la mambo ya anga "NASA" waliigundua ikiwa mbali sana nyuma ya pluto. Lakin kutokana na kuto leta panic kwa watu shirika hilo na serikali yake walikaa kimya bila kusema lolote kuhusu hio sayari na kulikuwa na gazeti la marekani kipind hicho lilitangaza lakini baada ya siku kadhaa walikanusha kuhusu hicho walichokisema angalia Untitled Document

3. Ni sayari ambayo watu wa kale ambao ni sumerians waliizungumzia kama "crossing planet" ambayo ndo maana ya Nibiru. Wanasema ni sayari ambayo ikipita katika huwa muda wa kila miaka 3600 takribani 1/3 ya viumbe hai wanakufa.

4. Kwa sasa katika nchi za Canada, markani huko alaska, nchi za ulaya ambazo zipo karibia katika northen hemisphere na nchi za kusini mwa america na south africa hii sayari imeanza kuonekana kwa ukaribu zaidi katika muda ule jua linapoanza kuchomoza. Inaonekana kama ni jua la pili au mtoto wa jua kwa maana hii sayari ina moons ambazo zinawaka kama moto.

5. Kuna habari kuhus Pole Shifts, mabadliko ya pole shifts husababishwa na magnetic fields za dunia kiingiliwa na magnetic fields za hii sayari ya Nibiru. Hivyo matukio kama Tsunami na matetemeko ya ardhi na milipuko ya volcano vimeanza kutokea. Kadri inavozidi kusogea katika dunia ndio uharibifu utazidi kutokea, hivyo watu watakufa sana.

6. Kuna uwezekano wa sayari hii ku-cross dunia katika kipndi cha miaka mitatu kutoka sasa. Maana mwaka 2005 ilionekana kuwa inakuja kwa speed sana na ilikuwa umbali wa 1 light year ambayo ni sawa na trillion 9.46 km kutoka duniani na ilikuwa na speed takribani 200 miles kwa sekunde. So kati ya mwezi march au april 2015 au 2016 au 2017 itaipitia dunia kwa ukaribu kwa muda wa Wiki 7.3 au siku 51.

7. Pia kuhusu hili imekaa kiimani zaidi hasa katika biblia katika kitabu cha ufunuo wa yohana imezungumzia katika sura ya 6 mstari wa 12 hadi 14.......

8. Tokea mwaka 1983 kuna tetesi za ujenzi wa mahandaki "underground bases" kuongezeka na iko chini ya serikali ya marekani baada ya kifaa chao kilichotumwa na NASA kugundua kuwa planet X iko karibu kuingia katika solar system.

9. Serikali kama ya marekani inasemwa kuwa ilipata ufumbuzi huu mapema lakini ieamua ku-cover up ili kuondoa virugu na panic za watu duniani kama wakijua mapema. Wameamua kufanya hivi ili kuwafanya wale wachache tu wapate kupona katika catastrophe hii ikitokea hivi karibuni, ambao watakuwa wamejihifadhi katika mahandaki hayo.

10. Kuna taarifa kuwa orbit ya sayari ya Jupiter kubadilika sehemu yake tokea mwaka 2005, 2007, 2009 na 2012 lakini hawajaeleza kama mabadiliko hayo yanasababishwa na nini?

11. Kuna sites zingine katika internet zinazungumzia hili tukio ni moja ya siri kubwa za serikali za nchi zenye uwezo mkubwa duniani kuwa kama moja ya njia pekee ya kupunguza population ukiachana na bio-weapons

kama ebola, kimea, AIDS.

12. Kutangwaza kwa Planet X au NIBIRU itatangazwa kwenye vyombo ya habari pale itakapo fika kabisa ambapo karibia watu wote wa duniani wataiona na hapo ndipo vurugu zitaanza maana tayari wale waliyokwisha kuijua mapema watakuwa tayari katika underground bases zao wakusubiria hiyo hali ipite.

13. Kuna njia ya ku-survive pale tukio hili likitokea, wanapendekeza maji na vyakula visivyo oza haraka na madawa yani first aid kit na madawa mengine ya muhimu, ukae umbali wa miles 400 kutoka katika usawa wa bahari, ukae mbali sana na maeneo yote ambayo vaolcano ilikuwa au ipo muda kwa muda kama milima ya kilimanjaro na meru, kaa mbali na maeneo ya bonde la ufa kuna uwezekano wa tetemeko la ardhi likaitanua zaid ya hapo.

 

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes