vikosi vya waasi wa Syria
wamevirejesha nyuma vikosi vya wanamgambo wa dola ya kiislamu wa Islamic
State nje ya mji ambao pande zote mbili wanauwinda kuwa chini ya himaya
yake upande wa Kaskazini mwa Syria, baada ya siku kadhaa za mapambano
makali.
Waasi hao wa Syria wamewahi kuhusika na matukio ya kukera ingawa hupigana chini ya jeshi huru la Syria ambalo limekuwa likiwagawia silaha kutoka nchin Uturuki.


Post a Comment