Raia wa Uingereza walio na mizizi
yao nchini Somalia wanakutana mjini Bristol mashariki mwa Uingereza
kujadiliana kuhusu kuwazuia watu wa jamii hiyo kuwekwa itikadi kali.
Kundi la wapiganaji wa kisomalia al-Shabab huwaonyesha wapiganaji wake raia wa Kisomali katika hatua yake ya propaganda.
Mkutano huo unawakutanisha wawakilishi wa jamii,makundi ya kidini wanaharakati na maafisa wa polisi.
Post a Comment