Takriban watu watano wameuawa nchini
Bangladesh na maelfu ya wengine kuachwa bila makao wakati nchi hiyo
inapojiandaa kwa kuwasili kwa kimbunga.
Maafisa wanasema kuwa wako kwenye shughuli ya kuwahamisha zaidi ya watu milioni mbili kutoka sehemu za nyanda za chini pwani mwa nchi hiyo.


Post a Comment