Latest in Tech

Korea Kaskazini yaonya meli za Korea Kusini

Raia Kim Jong Un wa KOrea Kaskazini
Korea Kaskazini inasema itashambulia meli yoyote kutoka Korea Kusini, itakayovuka mpaka wa baharini kati ya mataifa hayo mawili unaozozaniwa.

Onyo hilo linajiri baada ya Korea Kusini kushambulia meli mbili za Korea Kaskazini zilizovuka mpaka wake kwa muda mfupi.

Pyongyang imetaja shambulizi hilo kama uchokozi wa kijeshi, lengo likiwa kusababisha hali ya wasiwasi..
Mapema mwezi huu ,Korea Kusini ilikataa wito wa Korea Kaskazini,ikisema kwamba lazima Pyongyang ichukue hatua kusitisha mpango wake wa nuklia kwanza.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes