Walinzi wa Pwani ya Italia
wamewaokoa wahamaji karibu 900 wengi kutoka Syria na Iraq kutoka katika
boti 2, kwenye pwani ya Sicily.
Aidha tukio hilo linaonesha kuwa wimbi la wahamiaji linabadili mwelekeo.
Kwa njia iliyokuwa ikitumika ya kupitia Ugiriki mpaka nchi za Balkani ambayo sasa imefungwa, inaoneka wengi sasa wanailenga njia ya kupitia Mediterranea, ambayo inapitia Misri na Libya mpaka Italia.


Post a Comment