![]() |
| Rais Buhari kikutana na Amina Ali Nkek,mtoto wake msichana na mamake. |
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
amekutana na msichana wa Chibok aliyeokolewa Amina Ali Nkeki, mtoto wake
msichana wa miezi minne na mamake katika ikulu ya rais mjini Abuja.
Aidha amesema kuwa pia litakuwa jukumu la serikali kuhakikisha kuwa ameendelea na masomo yake.
Yeye ni miongoni mwa wasichana zaidi ya mia mbili wa shule ambao walitekwa kutoka shule yao mjini Chibok na ndiye wa kwanza kuokolewa.


Post a Comment