![]() |
| Mfalme mswati ana wake wengi |
Ndege ya kibinafsi ya mfalme wa
Swaziland Mswati wa tatu, imezuiwa nchini Canada kwa mara ya pili ndani
ya miaka miwili kutokana na mzozo wa deni.
Siku ya Jumatano msemaji wa serikali ya Swaziland Percy Simelane, alikana madai kuwa mfalme ana deni lolote na kuongeza kuwa hatasema zaidi kwa kuwa kesi iko mahakamani.


Post a Comment