Latest in Tech

Picha vazi la Jennifer Lopez kwenye show lazua utata

Ng’ombe hazeeki maini.

Jennifer Lopez ameonyesha kuwa bado analipa kwenye show yake aliyoifanya usiku wa Jumanne huko Atlanta.
34523CD000000578-0-image-m-94_1463552618016
Kutokana na muonekano wake wa kwenye show hiyo wanaharakati wa haki za binadamu wamemtaka abadilishe mfumo wa mavazi yake hayo anapokuwa jukwaani kwa mujibu wa sheria za jimbo hilo.
34522F4F00000578-0-image-m-93_1463551180850
34522F5E00000578-0-image-m-91_1463550985449
Ni muda mrefu Jennifer Lopez (46) amekuwa nje ya jukwaa lakini hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya ‘Ain’t Your Mama’.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes