Wakuu katika jimbo la New South Wales nchini Australia, wametangaza
hali ya tahadhari, ili kusaidia mji mmoja ambao umezingirwa na maelfu ya
popo. Wakazi wa mji wa Bateman Bay, wanasema kuwa kelele za kuudhi,
harufu mbaya na kinyesi cha popo, vinawapa kero kubwa.
Mamlaka kuu
ya jimbo hilo, sasa inapania kutumia dola 1.8 milioni, kuwahamisha popo
hao, ambao pia wanafahamika kama mbweha wanaopaa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment