Alitoa tangazo lake punde tu baada ya kupoteza kura katika kampeni za mwisho Indiana.
Cruz amewaambia wafuasi wake kuwa alifanya kila analoweza katika kampeni zake,lakini hakukuwa na njia ya yeye kuweza kusonga mbele zaidi.
Home » SIASA » Ted Cruz ajitoa kwenye kinyang'anyiro Marekani
Post a Comment