Wanasayansi wa Uchina wamefaulu katika tiba yao mpya ya majaribio ya kutibu upofu.
Walitumia nguruwe katika majaribio hayo ya tiba ya kuondoa upofu, ambapo walitumia konea kutoka kwa wanyama hao.
Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.
Inakisiwa
kuwa Wachina wapatao 5 milioni wanakabiliwa na matatizo ya konea,
sehemu ya mbele ya jicho iliyo ngumu na inayowezesha miali ya mwanga
kupenya.
Matatizo ya konea husababisha watu wengi kuwa kipofu.
Home » SAYANSI NA TEKNOLOJIA » Wanasayansi watumia nguruwe kutibu upofu
Wanasayansi watumia nguruwe kutibu upofu
By Unknown • 22:43:00 • AFYA SAYANSI NA TEKNOLOJIA • Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment