Latest in Tech

MICHEZO

SIASA

VIDEOS

Latest Updates

Showing posts with label VIDEOS. Show all posts
Showing posts with label VIDEOS. Show all posts

VIDEO: TAZAMA UWEZO WA RAPA HUYU WA KIKE MWENYE UMRI WA MIAKA 13 ALIYESAINI SONY MUSIC

11:27:00
Lebo kubwa ya muziki Epic/Sony records wamefanya usajili mkubwa wiki hii baada ya kupata saini ya rapa Luis Rivera Jr Aka Lil Poopy mwenye miaka 13.

Lil Poopy alikuwa msanii wa French Montana kwenye kundi lake la Coke Boys na kutoa mixtape iliyopewa jina “Coke Aint A Bad Word“.
Album hii ilileta matatizo kwenye familia ya Lil Poopy na baba yake mzazi kuchunguzwa na polisi baada ya mtoto wake mwenye miaka 13 kuimba kuhusu Wanawake, dawa za kulevya ,ngono na magari ya thamani.

Msanii huyu anafananishwa na wasanii kama Bow wow,Lil Romeo na Taylor Swift walioanza muziki wakiwa wadogo.

VIDEO: Mpya Kid Ink Ft Jeremih & Spice ‘Nasty’

05:56:00
Hii video mpya ya rapa Kid Ink akiwa na rnb staa Jeremih na Spice, video inaitwa ‘Nasty’ kutoka kwenye mixtape yake ya Rocketshipshawty 2.

VIDEO: Mpya The Game Ft Jeremih ‘All Eyez’ Itazame hapa

09:56:00
Rapa The Game ametoa video ya wimbo wake mpya “All Eyez” ikiwa ni rekodi mpya baada ya kutoa wimbo wenye kiki la kulala na Kardashians “Sauce” weekend iliyopita. Kwenye hii kazi mpya ya ‘All Eyez’ The Game yupo na rnb staa Jeremih.

Wimbo wa “All Eyez” upo kwenye album mpya ya The Game iliyopewa jina “1992” na inategemewa kutoka Sept. 30.

VIDEO: Jah Prayzah ft Diamond Platnumz 'watora mari'

02:44:00

VIDEO:Mpya Nay Wamitego 'pale katipatamu' enjoy

12:23:00
baada ya onyo kali kutoka BASATA hatimaye Nay Wamitego afanikiwa kutoa video ya wimbo wake uliozua utata 'pale kati patamu'

VIDEO: New Snoop Dogg Ft Lil Duval ‘Kill ‘Em wit the Shoulders’

06:03:00
Hii video mpya ya Snoop Dogg na Lil Duval  “kill ’em wit the shoulders.” kutoka kwenye album yake ya Coolaid iliyotoka June mwaka huu.

VIDEO: New Joe Budden Ft Tory Lanez & Fabolous ‘Flex’

03:15:00
Hii video mpya ya Joe Budden “Flex,”akiwa na wasanii  Tory Lanez na Fabolous. Hii ni kazi ya kwanza ya Joe isiyohusishwa na beef yake na Drake

VIDEO: New Jason Derulo ‘Kiss the Sky’ Enjoy.

03:07:00
Hii video mpya ya Jason Derulo kutoka kwenye cd yake ya Platinum Hits collection, video inaitwa “Kiss the Sky.”

VIDEO: mpya Dully Sykes ft Harmonize 'inde'

12:09:00

VIDEO; Mpya Bonge la Nyau Ft Q Chillah – 'Aza'

05:12:00
Msanii Bonge la Nyau ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Aza”, amemshirikisha Q Chillah. Video imeongozwa na Kwetu Studio.

VIDEO: mpya Rae Sremmurd Ft Lil Jon ‘Set the Roof’

04:47:00

Kundi la Rae Sremmurd linazidi kupata collabo na wakongwe kwenye muziki, This Time wamefanya kazi na mkali wa Crunk Music Lil Jon kwenye wimbo wao wa “Set the Roof” kutoka kwenye album yao ya  SremmLife 2.

VIDEO: mpya B.o.B ‘$tack of Dreams’

04:43:00
Hii video mpya ya rapa B.o.B  “$tack of Dreams.” kutoka kwneye mixtape yake ya mwezi wa nne ya E.A.R.T.H: Educational Avatar Reality Training Habitat.

TYGA MATATANI KWA DENI KUBWA LINALOMKABILI

04:25:00
Rb ya rapa Tyga imetolewa na jaji baada ya msanii huyu kushindwa kufika mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili juu ya kodi ya pango aliyokimbia kulipa.
Aliyekuwa mwenye nyumba wa Tyga anamdai rapa huyu dola $480,000 za nyumba aliyoishi huko Malibu. Mwenye nyumba huyu anataka kujua mali za Tyga zilipo ili akazikusanye na kuzipiga mnada mpaka apate pesa yake.
Mwenye nyumba huyo alikasirishwa na kitendo cha Tyga kununua gari mpya kwaajili ya mpenzi wake iliyogharimu dola $200,000. Kwa sasa Tyga anaishi kwenye nyumba anayolipa dola laki nne na nusu.

VIDEO: mpya ya Usher Ft Young Thug ‘No Limit’ itazame hapa.

04:03:00
Hii video mpya ya Usher Raymond ‘No Limit’ aliomshirikisha Young Thug, Dabing imechezwa sana kwenye video hii

VIDEO: Mpya Gentries f/ Belle 9 & Young Dee – Chapaa

16:08:00

Video mpya ya rapper Gentries akiwashirikisha Belle 9 na Young Dee. Chapaa imetayarishwa na DX wa Noiz Maker na video imeongozwa na Hanscana.

VIDEO: Mpya AKA “One Time” itazame hapa.

15:51:00

Rapa kutoka Afrika kusini Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA ametoa video ya wimbo wake mpya “One Time”.

VIDEO: Mpya Juicy J Ft Travis Scott ‘No English’

15:46:00

Juicy J amemvuta mkali wa michano mbele Travis Scott kwenye wimbo wake wa “No English.” Video inatoka kama matayarisho ya album mpya ya Juicy ya Rubba Band Business: The Album.

VIDEO: Mpya Rick Ross na Skrillex ‘Purple Lamborghini’ Enjoy

15:38:00
Rick Ross na Skrillex wamekamilisha video ya wimbo wao wa “Purple Lamborghini” iliyotayarishwa na Colin Tilley. Wimbo huu umetumika kwneye filamu ya Suicide Squad.

VIDEO: Mpya ya Christian Bella ‘Nishike’ itazame hapa

07:10:00
Mkali wa sauti za juu kwenye muziki Tanzania Christian Bella ametoa video ya wimbo wake mpya ‘Nishike’.Bonyeza play kuitazama.

VIDEO: Mpya ya Chege Ft Diamond ‘Waache Waoane’

07:07:00
Yes its finaly here, ile video ya Chege Chigunda Ft Diamond Platnumz ambayo pia Temba ameonekana. Rekodi inaitwa Waache waoane na video imefanywa South Africa, Enjoy hii video, nipe mtazamo wako hapo chini na je ungependa kujua nini kutoka kwa Chege kuhusu hii video ?
 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes