Latest in Tech

MICHEZO

SIASA

VIDEOS

Latest Updates

Showing posts with label VIDEOS. Show all posts
Showing posts with label VIDEOS. Show all posts

VIDEO: TAZAMA UWEZO WA RAPA HUYU WA KIKE MWENYE UMRI WA MIAKA 13 ALIYESAINI SONY MUSIC

11:27:00
Lebo kubwa ya muziki Epic/Sony records wamefanya usajili mkubwa wiki hii baada ya kupata saini ya rapa Luis Rivera Jr Aka Lil Poopy mwenye miaka 13.

Lil Poopy alikuwa msanii wa French Montana kwenye kundi lake la Coke Boys na kutoa mixtape iliyopewa jina “Coke Aint A Bad Word“.
Album hii ilileta matatizo kwenye familia ya Lil Poopy na baba yake mzazi kuchunguzwa na polisi baada ya mtoto wake mwenye miaka 13 kuimba kuhusu Wanawake, dawa za kulevya ,ngono na magari ya thamani.

Msanii huyu anafananishwa na wasanii kama Bow wow,Lil Romeo na Taylor Swift walioanza muziki wakiwa wadogo.

VIDEO: Mpya Kid Ink Ft Jeremih & Spice ‘Nasty’

05:56:00
Hii video mpya ya rapa Kid Ink akiwa na rnb staa Jeremih na Spice, video inaitwa ‘Nasty’ kutoka kwenye mixtape yake ya Rocketshipshawty 2.

VIDEO: Mpya The Game Ft Jeremih ‘All Eyez’ Itazame hapa

09:56:00
Rapa The Game ametoa video ya wimbo wake mpya “All Eyez” ikiwa ni rekodi mpya baada ya kutoa wimbo wenye kiki la kulala na Kardashians “Sauce” weekend iliyopita. Kwenye hii kazi mpya ya ‘All Eyez’ The Game yupo na rnb staa Jeremih.

Wimbo wa “All Eyez” upo kwenye album mpya ya The Game iliyopewa jina “1992” na inategemewa kutoka Sept. 30.

VIDEO: Jah Prayzah ft Diamond Platnumz 'watora mari'

02:44:00

VIDEO:Mpya Nay Wamitego 'pale katipatamu' enjoy

12:23:00
baada ya onyo kali kutoka BASATA hatimaye Nay Wamitego afanikiwa kutoa video ya wimbo wake uliozua utata 'pale kati patamu'

VIDEO: New Snoop Dogg Ft Lil Duval ‘Kill ‘Em wit the Shoulders’

06:03:00
Hii video mpya ya Snoop Dogg na Lil Duval  “kill ’em wit the shoulders.” kutoka kwenye album yake ya Coolaid iliyotoka June mwaka huu.

VIDEO: New Joe Budden Ft Tory Lanez & Fabolous ‘Flex’

03:15:00
Hii video mpya ya Joe Budden “Flex,”akiwa na wasanii  Tory Lanez na Fabolous. Hii ni kazi ya kwanza ya Joe isiyohusishwa na beef yake na Drake

VIDEO: New Jason Derulo ‘Kiss the Sky’ Enjoy.

03:07:00
Hii video mpya ya Jason Derulo kutoka kwenye cd yake ya Platinum Hits collection, video inaitwa “Kiss the Sky.”
 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes