Serikali ya China inasema kuwa zaidi
ya asilimia 80 ya maji ya maji ya kina kifupi yaliyo chini ya ardhi ni
machafu mno na hata hayaweza kutumiwa kwa kunywa wala kuoga.
Karibu asilimia 50 ya sampuli za maji haitatumiwa na binadamu. Maafisa nchini China wameuhakikishia umma kuwa kiwango kikubwa cha maji kinachotumiwa mijini hutokana na kirefu chini ya radhi.


Post a Comment