![]() |
| Chris Hani |
Kesi ya serikali ya Afrika Kusini
inayopinga kuachiliwa awali kwa muuaji wa shujaa aliyepinga ubaguzi wa
rangi Chris Hani imeanza katika mahaka kuu mjini Pretoria nchini Afrika
kusini.
Kuachiliwa kwake kulizua ghadhabu sehemu nyingi nchini Afrika Kusini, hasa wakati jaji alimuambia mkewe Hani kuendelea mbele na maisha.
Mkewe Hani aliutaja uamuzi huo kuwa huzuni kubwa kwa Afrika Kusini.


Post a Comment