Latest in Tech

Davido kataja kiasi cha pesa alicholipwa na Pepsi kuwa balozi wao.

Entertainment

African music staa Davido amethubutu kuweka wazi kiasi cha pesa alicholipwa  na kampuni ya vinywaji ya Pepsi kama balozi wao.

Kwa mujibu wa Snapchat ya Davido, jamaa kalipwa pesa za Nigeria Naira milioni 100 kuwa balozi wa Pepsi. pia Davido anasema amepanga kuwa nunulia wasanii wote wa lebel yake magari mapya.

Kiasi hichi ni kama 1,099,061,759.4 za Tanzania.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes