Latest in Tech

DIAMOND HASHIKIKI

Mtanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za African Culture Image (ACI) Awards zinazofanyika kuwatunza waafrika popote walipo duniani.

Diamond ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyetajwa kuwania tuzo hizo zilizotawaliwa na wasanii kutoka Nigeria.

Diamond anawania kipengele cha Male Artist of the Year akichuana na wasanii kama Wizkid, Davido, KCEE, Patoranking, Olamide
Tuzo hizo zitatolewa katikati ya mwaka huu huko Atlanta Georgia, Marekani. Jinsi ya kupiha kura http://www.aciawards.com/music/

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes