Baadhi ya watu maarufu waliowasili
kuulaki mwili wa mawanamuziki nyota katika uwanja wa ndege nchini DRC ni
Pamoja na mwanamuziki mashuhuri Faly Ipupa pamoja na mtu anayemwigiza
aliyekuwa rais wa DRC Mobutu Seseseko.
Gwiji huyo wa muziki wa lingala alizaliwa mnamo Juni 14 mwaka 1949, katika eneo la Lubefu - Wilaya ya Sankuru nchini Congo.
Alikuwa maarufu katika micharazo ya muziki wa Soukous.
Alikuwa mmoja kati ya wanamuziki maarufu sana barani Afrika na kote duniani.


Post a Comment