Latest in Tech

Future kawa diss tena Ciara na rapa Desiigner aliyeimba Panda,sababu iko hapa.


raper future
Rapa Future hana mahusiano mazuri na wasani wawili kwa sasa nchini Marekani ambao ni Ciara na Desiigner,na ameweka wazi zaidi jambo hili kwenye show yake wiki hii.

Akiwa anafanya show alitaka mizuka kutoka upande wa Kulia na kushoto na upande wa kulia haukuwa na mizuka ya kutosha ndipo aliposema “Upande wa kulia mtakuwa mashabiki wa Ciara au Desiigner” kitu ambacho kimetafsiriwa kana diss kali sana wasanii hawa.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes