By
Unknown
•
08:21:00
•
MATUKIO
SIASA
•
 |
| Mukabana akibebwa na vijana |
Mwanasiasa wa upinzani ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Stephene
Mukabana ambaye ni kiongozi wa vijana wa chama cha Orange Democratic
Movement (ODM), aliuawa usiku wa jana wakati alienda kumsaidia mtu mmoja
aliyekuwa akiporwa na kundi la watu sita kwa mujibu wa gazeti la
Standard nchini humo.
Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa
Nairobi Evans Kidero akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua
mwanasiasa huyo wa umri wa miaka 42.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment