Chuo Kikuu cha Nairobi kimewafukuza
wanafunzi 139 zaidi kwa kushiriki mgomo uliosababisha uharibifu mkubwa
wa mali. Wanafunzi hao walitakiwa kuchukua barua za kufukuzwa kutoka kwa
msajili wa wanafunzi ifikapo Ijumaa ya wiki hii.
Jacobs alikua mpinzani wa mwenyekiti wa sasa Babu Owino. Polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi baada ya kupata silaha ikiwemo visu vilivyokua na damu hali inayozua hofu ya kuwepo magenge ya uhalifu ndani ya Chuo hicho.


Post a Comment