Muendesha mashtaka wa serikali
ambaye amekuwa akichunguza misururu ya visa vya utekaji nyara nchini
Musumbiji, ameuawa nje ya nyumba yake katika mji mkuu Maputo.
Wengi wa wale wanaotekwa nyara ni wafanyibiashara wa asili ya Asia.
Miaka miwili iliyopita , jaji mmoja alipigwa risasi huko maputo, punde baada ya kuidhinisha kufungwa kwa mfanyibiashara kuhusiana na utekaji nyara.


Post a Comment