Latest in Tech

Puff Daddy atangaza kustaafu muziki na hii ndio kazi nyingine atakayofanya.

Rapa,Producer, mwigizaji na mfanya biashara maarufu Puff Daddy ametangaza rasmi kuwa album ya No Way Out 2 na kwamba baada ya hapa atastaafu muziki.

Pdd ni CEO wa Bad Boys Entertainment na ameweka wazi kuwa baada ya kustaafu muziki kazi yake kubwa itakuwa kuigiza na kutayarisha filamu tu.

Puff Daddy aliyetumikia muziki kwa miaka 20 amesema pia baada ya kuachana na muziki atatumia muda wake mwingi na watoto wake sita.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes