Latest in Tech

RAPER TYGA ADAKWA NA POLISI BAADA YA BASTOLA KUKUTWA KATIKA GARI LAKE

Gari ya rapa Tyga wa Young Money imesachiwa na polisi baada ya kutiliwa mashaka. Polisi wa mji wa Las Angles LAPD  walisachi gari alilokuwa akitembelea Tyga na washkaji zake.

Tyga alionyesha kukerwa na kitendo hicho na kuwaita polisi hao VIBAKA.

Bastola isiyokuwa na risasi ilikutwa kwenye gari hio na imetajwa kumilikiwa na mlinzi wa Tyga na kwamba anakibali cha kubeba silaha hio.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes