Latest in Tech

Riek Machar awasili Juba

riek machar
Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amewasili nchini humo tayari kuchukua wadhifa wake wa makamu wa urais.Hatua hiyo inajiri baada ya safari yake mjini Juba kuahirishwa mara kadhaa .Kundi lake linasema kuwa kucheleweshwa kwake kunatokana na mipango ya serikali na kwamba alipanga kurudi siku ya Jumatano.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes