Somalia imewaambia raia wake kuwa
hawaruhusiwi kusafiri kwenda nchini Sudan, ambacho ni kituo maarufu kwa
wahamiaji wanaosafiri kwenda Ulaya kinyume na sheria.
Bwana Gafow alisema kuwa anatazamia kuwazuia vijana wa kisomali ambao hufanya safari hatari kwenda Ulaya.
Mamia ya wahamiaji wengi wao rais wa Somalia, wanaripotiwa kufa maji mapema wiki hii wakati mashua yao ilizama katika bahari ya Mediterranean.
Post a Comment