By
Unknown
•
21:57:00
•
MICHEZO
•
Mechi za Marudiano za Robo Fainali
ya michuano ya Uefa zinaendelea tena Jumanne na jumatano kwa michezo
minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili .
Manchester City
watakuwa wenyeji wa Paris St-Germain katika dimba lao la Etihad na huko
Santiago Bernabeu Real Madrid wako kwenye kibarua kigumu cha kugeuza
kichapo cha 2-0 toka VfL Wolf-sburg walichokipata wiki iliyopita
Siku ya Jumatano Benfica watawakaribisha Bayern Munich ,na Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Barcelona.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment