Latest in Tech

UMAARUFU UMEMPOTEZA KANYE WEST KWENYE GAME

Dj Maarufu kutoka Compton ‘Dj Quik’ amesema Kanye West amekuwa muoga wa kutoa album yake kwenye mauzio kushindana na wasanii wengine sababu anaogopa kukalishwa.

Quik pia anasema Umaarufu wa Kanye West ni mkubwa kuliko ubora wa muziki wake, amekuwa mtu wa Kardashian sasa

Quik anafanya interview akitangaza album mpya ya “Rosecrans,” na amesema hii sio diss kwa Kanye West ila ni Changamoto.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes