![]() |
| Rais Vladmir Putin wa Urusi, akimsikiliza waziri wa michezo Vitaly Mutko wakati walipokitembelea kituo cha michezo. |
Urusi imetangaza hatua yake ya
kutaka kuushawishi uongozi wa chama cha riadha wa dunia ili wachezaji
wake waruhusiwe kushiriki katika mashindano ya Olympic Rio mwaka ujao.
Shirikisho la riadha la Urusi limeondolewa kwa muda kutoka katika mashindano ya kimataifa, ikiwemo michezo ya Olimpiki, kwa tuhuma za kuhusika katika matumizi ya dawa za kusisimua misuli.


Post a Comment