![]() |
| Chuo cha Nairobi kilikumbwa na ghasia zilizotokana na uchaguzi wa viongozi wa wanafunzi. |
Jumla ya wanafunzi 62 wa chuo kikuu
cha Nairobi nchini Kenya wamefukuzwa kutoka chuo hicho, baada ya
kushuhudiwa ghasia zilizosababisa kufungwa kwa chuo kwa muda usio
julikana wiki moja iliyopita.
Chuo kikuu cha Nairobi kiliseme kuwa kilichukua hatua hizo za kinidhamu dhidi ya wanafunzi walioshiriki katika kuharibu mali ya umma.


Post a Comment