Latest in Tech

Album ya Rihanna ‘ANTI’ sasa imenunuliwa mara milioni mbili,huto amini mauzo ya WORK.


Album mpya ya Rihanna ANTI imeweka rekodi nyingine baada ya rekodi yake ya kwanza ya kuuza kopi milioni moja ndani ya saa 14. Album hii kwa sasa imetangazwa kuuza kopi milioni mbili na kuwa double platinum huku nyimbo yake ya “Work,” ikiuza kopi milioni 3 na kuwa wimbo wa kwanza mwaka huu kufanya hivyo.
 rihanna-puma-fenty.jpg 2

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes