Latest in Tech

BAADA YA BIRD MAN KUZINGUA KATIKA INTERVIEW NA KUTOA T-shirt ZILIZO CHAPISHWA 'RESPEK' SASA AINGIA STUDIO NA KUREKODI NGOMA KALI ILIYOTAMBULISHWA KWA JINA LA 'RESPEK'

http://fahamutv.com/birdman-9/
R-E-S-P-E-K limekuwa neno kubwa baada ya bosi wa Cash Money, Birdman kutoka kwenye interview ya “Breakfast Club”  kwa hasira kutokana na kitendo cha mtangazaji wa show hio kumkosea heshima.
Kwenye wimbo anasema “Tell them ni**as to respek my name,Or keep it out of their fuckin’ mouth.”
Hii ni album mpya na imepewa jina la marehemu mama yake Birdman Ms. Gladys na inategemewa kutoka June 24 baada ya album ya Rich Gang’s Rich Gang 2: The Lifestyle on July 1.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes