Kampuni ya kinywaji cha Pepsi wamethibitisha kuwa baada ya skendo
kubwa ya usaliti iliyomkumba Tiwa Savage, bado msanii huyu ni balozi wa
kinywaji hicho.
Nigeria imemuangukia Tiwa Savage kwa tuhuma za usaliti zilizosambazwa
mitandaoni na kurasa ya instagram ya mume wake ambaye baadae alisema
kurasa hio ilivamiwa.
Siku mbili zilizopita Tiwa Savage alikanusha kumsaliti mume wake na
kusema Mume wake TeeBillz alikuwa anahusishwa na uuzaji wa dawa za
kulevya na pia anajua amemsaliti na sio mara moja.
Home » burudani » Baada ya skendo kubwa ya usaliti, Pepsi wametoa kauli juu ya Tiwa Savage kuwa balozi wao.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment