Beef la zaidi ya miaka kumi la wasanii Faith Evans naLil Kim
limeusha.Hii imeonekana kwenye video ya wasanii hawa wawili wakifanya
mazoezi kwaajili ya show kubwa ya umoja wa kundi la Bad Boys Family.
Beef hili lilianza zaidi ya miaka 10 nyuma baada ya Lil Kim
kuchepukana Notorious BIG ambaye alikuwa mpenzi wa Faith Evans. Awali
palikuwa na amani kati yao baada ya Faith kupost picha ya Lil Kim akiwa
kwenye show na kuandika
“@lilkimthequeenbee making it do what it do! #hits #whatsbeef
#thatishisplayedout #wegrown #teamfizzy #teamprolific
#incomparablealbum”
Lil Kim na Faith Evans wanategemewa kufanya show kwenye ziara za lebel
ya Bad Boy Family inayoanza mwezi wa nane ikiwa na wasanii kama Ma$e,
Puff Daddy, The Lox, na French Montana.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment