Latest in Tech

Bow Wow hajawahi kupenda kurap,kazi mbili alizotaka kufanya ndio hizi.

Rapa na mwigizaji Bow Wow ameweka wazi kuwa hajawahi kupenda kurap ila ndoto yake haswa ilikuwa kuja kuwa Mchekeshaji na Mwigizaji mkubwa.
Bow wow ambaye kwa sasa anatumia jina la Shad Moss, alipata umaarufu kwenye muziki kupitia wimbo wa “Lil’ Bow Wow”Ft Snoop Dogg na kabla ya hapo alionekana kwenye video ya “Gin and Juice” mwaka 1994.
Bow wow aliandika Twitter “My whole life i hated rapping,Folks dont know that. I always wanted to be a comedian growing up. I wanted to act.”
Bow wow alianza kuigiza mwaka 2002 kwenye Like Mike, na kwa sasa anaigiza kama Brody Nelson, askari wa FBI kwenye tamthilia ya CSI: Cyber .
Bow wow alimaliza kwa kusema anatengeneza pesa nyingi zaidi kwenye kuigiza ndani ya miezi mitani kuliko wasanii wa rap wanavyotengeneza pesa mwaka mzima “In 5 months of filming i’ll have made more than half of what these rappers make in that 1 year alone“.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes