Kipa mkongwe wa Juventus, Gianluigi Buffon ameonekana kufurahia ubingwa wa Leicester City ya England.
Buffon
ambaye ana umri wa miaka 38, alionekana kufurahia ubingwa huo kama
sehemu kwa Kocha Claudio Ranieri ambaye ni kocha wake wa zamani na raia
wa Italia pia.


Post a Comment