Baada ya wiki kadhaa kupita toka Davido atangaze ujio wa lebel yake
binafsi, staa huyu ameweka wazi kuwa Ijumaa ya May 20 2016
ataitambulisha rasmi lebel hii kwa kutoa wimbo wa wasanii wake.
Davido Music Worldwide itazinduliwa kwa kutoa video ya wasanii wa
lebel hii ya ‘Back to Back’ ikiwa na wasanii wa HKN GANG, Dremo na
Mayorkun
Mayorkun ni msanii wa Davido aliyetoa “Eleko” iliyotazama na watu
zaidi ya milioni moja ndani ya wiki moja na kufanya vizuri kwenye tv na
radio.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment