Wcb staa Harmonize amesema alimkuta mpenzi wake Jackline Wolper akiwa single, ndiyo maana wakaweza kuanzisha mahusiano.
Harmonize amesema hayo kupitia kipindi cha Enews ambapo alikuwa
anaelezea mambo mbalimbali kuhusu maisha yake mapya katika mahusiano na
Wolper ambaye yeye mwenyewe amekiri kuwa ni mtu aliyeanzisha naye
mahusiano hivi karibuni na kusema tuwe na subira kila kitu kitakuja
kuwekwa wazi siku za usoni.
“Unajua mpaka saizi sijamvisha mtu pete
ya uchumba wala mimi sijawahi kuvishwa pete ya uchumba ila niseme tu ni
kweli nipo kwenye mahusiano na Wolper ambaye ni maarufu kama mimi na
wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi” alisema Harmonize
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment