By
Unknown
•
03:32:00
•
burudani
MICHEZO
•
Bondia mtaafu Floyd Mayweather analipia milioni 2 za kibongo kila
mara anaponyolewa nywele na kinyozi wake. Kinyozi wake ambaye ni
mwanamke anasema analipwa dola $1,000 per cut.”
Mayweather ananyolewa mara tatu kwa wiki.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment