![]() |
| Korea Kaskazini |
Korea Kaskazini imefanya jaribio
jengine la makombora yake ya masafa marefu katika eneo la mashariki ya
pwani yake lakini linaonekana kufeli,wanajeshi wa taifa hilo wamesema.
Korea Kaskazini imepigwa marufuku na Umoja wa Mataifa kutumia teknolojia yoyote ya makombora ya masafa marefu.
Wasiwasi umetanda katika eneo hilo baada ya Pyongyang kujaribu kombora la nne la Kinyukia mnamo mwezi Januari pamoja na makombora mengine.


Post a Comment