Latest in Tech

Justin Timberlake athibitisha kurudi kwenye muziki,ashauriwa kutumia kiki la rapa huyu.


Baada ya kutoa wimbo wa ‘Can’t stop the feeling’ pop staaJustin Timberlake anaelekea kukamilisha album mpya ikiwa ni ya kwanza toka mwaka 2013 alipotoa The 20/20 Experience.
Justin pia ameongelea kupewa ushauri wa kufanya kazi na rapa mkali ambaye ni DRAKE ili kurudi kirahisi kwenye muziki. Wanaotengeneza album ya Justin ni pamoja na Pharrell, Timbaland, na Little Big Town.
 

Drake na JT Waliwahi kufanya kazi pamoja kwenye huu wimbo

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes