Latest in Tech

kama mtoto wa Janet Jackson atakuwa mwanaume ataitwa Michael Jackson.

Akiwa na ujauzito wakati anafikisha umri wa miaka 50, pop staa Janet Jackson amekuwa gumzo kubwa kwenye habari za burudani hivi karibuni.
Tetesi zinasema Janet na mume wake wanafikiria kumuita mtoto wao Michael Jackson kama atazaliwa mtoto wa kiume.
Jambo hili litafanyika kama kutunza kumbukumbu ya marehemu kaka yake ambaye ni mfalme wa Pop Michael Jackson.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes