Serikali ya Kenya inafunga idara
zake zinazosimamia maswala ya wakimbizi katika hatua ambayo inatumai
itaharakisha kufungwa kwa kambi kubwa za wakimbizi za Dadab na Kakuma.
Imeongezea kuwa wakimbizi 600,000 wengi wao wakitoka nchi jirani ya Somalia wanaishi nchini Kenya,na uhifadhi wao unaiathiri Kenya kiuchumi,usalama na kimazingira.
Serikali inahitaji usaidizi wa kimataifa ili kuwarudisha katika mataifa yao.


Post a Comment