Rais wa Uturuki
Recep Tayyip Erdogan amesema serikali yake haitabadilisha sheria zake
dhidi ya ugaidi kama masharti ya Muungano wa Ulaya ikiwa Uturuki inataka
raia wake kuondolewa visa ya usafiri ndani ya Ulaya.
''Tunachukua njia yetu nanyi chukeini yenu'',alisema Reccep tayyip Erdogan
Bwana Erdogan amesema kwamba Uturuki inakabiliwa na tisho la ugaidi.
Kwenye hotuba hiyo Rais amesema atawasilisha mapendekezo ya kubadilisha mfumo wa utawala kutoka kwa Waziri Mkuu hadi Rais mwenye Mamlaka kupigiwa kura ya maoni


Post a Comment