Muhudumu wa chakula maarufu Mjini New Yori Stacy Adler ’50’
amefunguka juu ya kitendo alichofanyiwa wakati wa shughuli ya Kanye West
na kusema nikitendo ambacho hata sahau.
Kwenye kitabu kipya cha Ina Yalof ‘Food and the City’ muhudu
huyu anayefanya kazi na mastaa wengi kama Beyonce, Jay Z, Jennifer
Lopez, George Clooney, Madonna amesema aliambiwa asimtazame Kanye West
na kwamba wakati anapita wahudumu wote waangalie pembeni.
Stacy anasema”Watu wote maarufu wako
powa sana ila wapambe wao ndio wanasumbua, niliambiwa na watu wa Kanye
kuwa akipita hakuna mtu wa kumtazama, lazima uweke shingo pembeni na
usimuone wakati anapita kitu ambacho kilinikera sana“.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment