Usiku wa kuamkia May 6 2016 Paka Rapa Young Dee alipost picha akiwa
anavuta kitu ambacho mashabiki wake kwenye mtandao wa instagram
walitafsiri ni bangi na kuanza kumporomosshea comments kuwa anaelekea
kuwa kama Chidi Benz,
Je Young hapa alikuwa anavuta bangi ? na kama ni bangi ni sawa kwa
msanii kufanya hivi bongo kama tunavyoona nje kwa kina Wiz Khalifa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




Post a Comment