Latest in Tech

Mariah Carey apandisha sumu,alivyoulizwa msanii gani ataimba kwenye harusi yake.

Hii itakuwa kauli itakayokumbukwa zaidi kwenye maisha ya muziki ya msanii Mariah Carey baada ya kuulizwa kama kuna msanii anatarajiwa kuimba kwenye harusi ya pop Diva Huyu.
Mariah Carey alijibu kwa hasira na mshangao huku akisema “Hakuna msanii mwenye vigezo vya kuimba kwenye harusi yangu”
Na haya ndio maneno ya Mariah ‘F**king Nobody’ Is Good Enough to Perform at my Wedding”
enhanced-24784-1463435410-7

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes